“Nawaambia ndugu wa Malisa na wengine wote, Malisa tumeshamkamata na yuko kituo cha polisi Majengo… Mtu yeyote ambaye alionewa na Malisa aje amuone kituoni… Hapatakuwa na Scorpion hapa Kilimanjaro…” 

Wacha vidio yenyewe ijieleze. RPC wa Kilimanjaro, Hamisi Issah, shika hapo hapo. 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.