Ulipumba unadumaza demokrasia

Published on :

KATIKA siasa za Tanzania kuna kupakaziana kwa kila aina, walio madarakani huwakazia wa upande ule wanaoitwa wapinzani. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiliitwa chama cha Wachaga kwa sababu mwaasisi wake ni Eddwin Mtei. Hawakusema lolote kwa aliyekuwa Makamu wake, Bob Makani (marehemu) ambaye ni Msukuma wa Shinyanga. Baadaye siku […]

Aamuwa kufunga ndoa siku chache kabla ya kifo 

Published on :

Mwanamme mmoja nchini Uingereza aliyebakiwa na siku chache tu za kuishi amemuowa mchumba wake wa siku nyingi, baada ya sherehe ya harusi iliyoandaliwa masaa 24 tu na wasamaria wema, linaripoti gazeti la Daily Mirror. Likilinukuu gazeti la Manchester Evening News, Mirror linasema Ray Kershaw, mwenye umri wa miaka 63, na […]

Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo Mei 22

Published on :

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba, azungumzia mauaji ya kushitukizia yanayoendelea mkoani Rufiji akiyaita “fumbo”, shutuma dhidi ya Anthony Diallo juu ya uhusiano wake na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, na kwenye safu ya michezo, kwa mara nyengine tena ni sherehe za Yanga kukabidhiwa kombe […]