Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo Rais John Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alimkabidhi rasmi uwenyekiti wa Jumuiya hiyo mwenzake wa Uganda, Yoweri Museveni, simulizi za mauaji ya polisi dhidi ya watu wanaodaiwa ni majambazi na kwenye michezo bado shamrashamra za ubingwa wa Young Africans kwenye soka la Tanzania Bara ndizo mada kuu magazetini kwa leo. 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.