Katika maisha, kuna wakati unakumbwa na mkasa mkubwa kabisa unaokaribia kabisa kuyatoa maisha yako, lakini kwa namna moja ama nyengine ukanusurika na kutoka salama usalimini, lakini katika mazingira ambayo siyo tu watu wengine, bali hata wewe mwenyewe huamini wala hujui ulivyonusurika. Huko ndiko kuponea chupuchupu, kama kunavyosimuliwa na vidio hii fupi.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.