Kukamatwa meya wa Arusha pamoja na wenziwe kadhaa wakati wakitoa mkono wa pole kwenye skuli ya Mtakatifu Lucky Vicent kumechukuwa nafasi kubwa ya kurasa za mbele, sambamba na suala la vyeti vya kughushi kwenye sekta ya umma, huku michezoni kukitawaliwa na ushindi wa jana wa Serengeti Boys dhidi ya Angola. 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.