Mbunge kijana wa jimbo la Mwanakwerekwe, Ali Salim Khamis (CUF), anafanya kile ambacho kilikuwa kimeshindikana kwa zaidi ya miaka 20 sasa kwenye jimbo hilo la mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja. Khamis, ambaye hii ni awamu yake ya kwanza bungeni na akiwa hajatimiza hata miaka miwili, tayari ameanzisha mageuzi makubwa kwenye huduma za kijamii na miundombinu. Angalia picha za hivi karibuni za kila anachokifanya jimboni kwake.

This slideshow requires JavaScript.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.