Kurasa nyingi za mbele zinadodosa undani wa kujiuzulu kwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Mecky Sadiq, na majaji wawili uliotangazwa jana na Ikulu ya Magogoni, sambamba na kupandishwa kizimbani kwa Adam Malima, naibu waziri wa zamani wa fedha kwenye serikali ya awamu ya nne, kwa tuhuma za kumzuwia afisa usalama kutekeleza majukumu yake, na huku kurasa za michezo zikirindima ubingwa wa Yanga. 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.