Umasikini wa Zanzibar ni uongozi wake

Published on :

Mvua kubwa za masika zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya pwani za Bahari ya Hindi zimetuletea gharika nchini Zanzibar, ambako makaazi ya watu, miundombinu ya usafiri na majengo ya umma yameathiriwa vibaya. Mamlaka zinasema kwa uchache nyumba 900 zimeathiriwa kote Unguja na Pemba, takribani nusu yake zikiwa zimeharibiwa kabisa kiasi […]

Museveni avikosoa vyombo vyake vya usalama kwa utesaji

Published on :

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amekosoa visa vya utesaji ambavyo vyombo vya usalama nchini mwake vinatuhumiwa kuvifanya, akisema vitendo hivyo sio sahihi na sio vya lazima. Katika barua aliyowaandikia wakuu wa polisi na idara ya upelelezi, Museveni amesema maafisa wa usalama wanaweza kumfanyia mateso mtu asiyehusika kabisa na uhalifu, ambaye anaweza […]

Yasemavyo magazeti ya Tanzania 17 Mei 2016

Published on :

Kurasa nyingi za mbele zinadodosa undani wa kujiuzulu kwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Mecky Sadiq, na majaji wawili uliotangazwa jana na Ikulu ya Magogoni, sambamba na kupandishwa kizimbani kwa Adam Malima, naibu waziri wa zamani wa fedha kwenye serikali ya awamu ya nne, kwa tuhuma za kumzuwia afisa usalama […]