Miongoni mwa yaliyogusiwa kwenye magazeti ya leo ni ziara ya Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini na mpambano kati ya wabunge wa CCM kufuatia kauli kali za juzi za wabunge wenzao akina Nape Nnauye na Charles Kitwanga.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.