Taarifa kubwa inaendelea kuwa ajali ya basi Iliyoangamiza maisha ya watu 35 juzi, wengi wao wakiwa wanafunzi wa skuli ya Mtakatifu Lucky Vicent, ambapo leo Makamu wa Rais Samia Suluhu anatazamiwa kuongoza mazishi yao. Vile vile, muna taarifa zaidi za kiuchunguzi kuhusiana na kashfa ya vyeti vya kughushi kwenye sekta ya umma.

This slideshow requires JavaScript.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.