Leo ni siku ambayo miili 35 ya mashujaa wa elimu nchini Tanzania inaagwa mjini Arusha. Zanzibar Daima inaunganika na familia za watoto wetu, walimu na dereva waliopoteza maisha kwenye ajali ya juzi wakati wakielekea Karatu, kaskazini mwa Tanzania.

Hapa pana picha zilizokusanywa kutoka vyombo vya habari zikionesha namna huzuni ilivyotanda kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha, ambako kunafanyika ibada ya kuwoambea mashujaa wetu hawa.

This slideshow requires JavaScript.

 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.