Huku takribani nusu ya kura zikiwa zimeshahesabiwa kwenye uchaguzi wa duru ya pili nchini Ufaransa, mgombea urais mwenye siasa za wastani anayeunga mkono Muungano wa Ulaya, Emmanuel Macron, anaongoza kwa asilimia 65 dhidi ya asilimia 34 za Marine Le Pen wa chama cha siasa kali za mrengo wa kulia.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.