Vidio ya wimbo wa Bongofleva wa msanii Ney wa Mitego uitwao Wapo iliyoigizwa upya (remix) kwa njia ya dhihaka na msanii wa vichekesho nchini Tanzania, Mkali Wao, inaakisi maana halisi ya dhihaka kwenye sanaa. Dhihaka ni pale yanapotumika maneno au matendo ya kukuchekesha sana lakini katikati ya kushikilia mbavu, ukahisi hasira zinakuinuka kwa kuchomwa na ukweli mkali uliomo. Mwangalie hapa Mkali Wao:

One thought on “Kama hujaisikia hii, bado hujaijuwa maana hasa ya dhihaka kwenye sanaa”

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.