Kisiwa cha Pemba chakumbwa na mvua ya gharika

Published on :

Si kawaida mafuriko kukiathiri kisiwa cha Pemba, hata panapokuwa na mvua kubwa kiasi gani, kutokana na maumbile yake ya milima na mabonde, lakini mvua kubwa ya masika inayoendelea sasa imezamisha madaraja kadhaa, kuporomosha milima, kuvunja majumba na kugharakisha mashamba. Hadi sasa, hakujakuwa na taarifa za vifo au watu waliopotea lakini […]

Baada ya kushinda kesi ya uchochezi dhidi yake, Mdude Nyangali aitaka serikali imuombe radhi

Published on :

Kijana wa Kitanzania, Mpaluka Said Nyagali, maarufu kwenye mitandao ya kijamii kama Mdude Nyagali, ameshinda kesi ya uchochezi dhidi yake na sasa anaitaka serikali kupitia vyombo vyake vilivyoshiriki kwenye mateso makubwa aliyopitia ndani ya kipindi cha kukamatwa na kushikiliwa na vyombo hivyo, imuombe radhi. Hayo yamo kwenye barua yake kwa […]

Nyundo za Sugu zilivyosugua bungeni

Published on :

Hii ndiyo hotuba kamili ya Mbunge Joseph Mbilinyi ambayo ilizua tafrani kwenye Bunge hapo jana kiasi cha Mwenyekiti wa Bunge hilo, Mbunge Mussa Zungu, kulazimisha kuwa kurasa 17 za hotuba hiyo zifutwe, zisisomwe na zisiwe sehemu ya kumbukumbu za bunge (hansard). Nukta kuu kwenye hotuba hiyo inabebwa na maneno haya: […]