Bibi Suad Al Lamki, ambaye kwa sasa anaishi Oman, alikuwa jaji wa pili tu mwanamke kwenye Mahakama ya Tanzania baada ya uhuru. Mazungumzo yangu naye, ambayo yapo hapo kwenye vidio hii yanaibua mengi ambayo yumkini yalikuwa hayasemwi kuhusu Zanzibar ya kabla ya Mapinduzi na hata ya baadaye, nafasi ya ilimu na mwanamke kwenye jamii za Kiarabu na Kiislamu, na pia dhima ya taaluma kwenye maisha ya kifamilia.

 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.