CUF yaishambulia SMZ kwa ubaguzi

Published on :

Chama cha Wananchi (CUF), ambacho kinaamini kuwa kiliporwa ushindi wake kwenye uchaguzi wa Oktoba 2015 visiwani Zanzibar, kimeilaani Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) inayoongozwa na Dk. Ali Mohamed Shein, kwa kile kinachosema ni ubaguzi wenye misingi ya Uunguja na Upemba na kuwakomoa wale waliokikosesha ushindi Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye […]