Zanzibar Heroes iliufanya 2017 kuwa Mwaka wa Mashujaa

Published on :

Ulikuwa usiku wa maajabu, usiku wa furaha, usiku wa historia na usiku wa aina yake. Usiku wa Mashujaa. Nalazimika kuuita majina tofauti usiku wa tarehe 23 Disemba 2017 kwa kile kilichotokea pale katika jengo maarufu la Baraza la Wawakilishi la zamani kwa kile alichokifanya Dk. Ali Mohammed Shein kwa vijana […]

Zanzibar ingekuwa Zanzibar, Heroes wangefika mbali

Published on :

Shamrashamra za mafanikio baada ya timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, kushika nafasi ya pili katika mashindano ya Kombe la CECAFA 2017, zimeibua hisia kubwa na furaha miongoni mwa Wazanzibari. Hisia hizi zikazidi kushika nguvu na hamasa, baada ya timu nyengine ya Zanzibar, Zanzibar Sand Heroes, kuibuka kidedea na […]

Lipumba abwagwa tena kortini

Published on :

CHAMA cha Wananchi (CUF), upande unaongozwa na Profesa Ibrahim Lipumba kimepata pigo kubwa baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kupiga marufuku bodi yake kujihusisha na shughuli zozote za chama hicho mpaka shauri la msingi litakapomalizika, anaandika Hamisi Mguta. Profesa Lipumba, ambaye anatambuliwa na msajili wa vyama siasa nchini, analumbana na […]

Wachezaji 5 Zanzibar Heroes na kocha wao waunda kikosi bora Challenge

Published on :

Washindi wa pili wa michuano ya Kombe la Chalenji iliyomalizika jana Nchini Kenya timu ya taifa ya Zanzibar maarufu kama Zanzibar Heroes wametoa wachezaji watano katika kikosi bora cha michuano hiyo ambayo Kenya iliibuka na kombe. Zanzibar Heroes, moja kati ya timu zilizocheza mchezo wa kuvuatia, licha ya kutoa wachezaji […]