La mkono wa Maalim Seif na uhalisia wa hisia

Published on :

Hisia ni kitu ambacho kila kiumbehai anacho kutegemea na hukionesha kulingana na mazingira husika. Tafsiri ya hisia hizo ni za aina mbili – chanya na hasi – kama vile ambavyo kinachozipelekea hisia kililivyo. Hisia chanya ni zile ambazo mtu akiwa nazo huonekana hali ya bashasha, furaha, tabasamu na hata kicheko; […]

Je, kifo cha Jumbe chaweza kututanabahisha Wazanzibari?

Published on :

Mzee Aboud Jumbe Mwinyi, aliyewahi kuwa rais wa Zanzibar, makamu rais wa Tanzania, makamu mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na – kubwa kuliko yote – kiongozi aliyefunguwa milango ya demokrasia baada ya Mapinduzi ya 1964 na hatimaye kuja kupigania muundo sahihi wa Muungano – ametangulia mbele ya haki akiwa […]

Kwaheri Jumbe, tunalo la kukumbuka

Published on :

Mwaka 1975, wakati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akisusia kushiriki katika mkutano wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU) uliokuwa unafanyika nchini Uganda kwa sababu ya tafauti zake na Rais Iddi Amin Dada, Mzee Aboud Jumbe Mwinyi ndiye aliyekuwa mkuu wa nchi ya Zanzibar. Mzee Jumbe hakufurahishea kuingizwa kwa Zanzibar […]

Machozi Yamenishiya: Diwani ya Mohammed Ghassani

Published on :

MSHAIRI NA DIWANI YAKE Linapokuja suala la kutaja mafanikio ya mshairi fulani, inatubidi kwanza tulikabili suala gumu la ki-ontolojia: ‘shairi ni nini’? Kwa vile suala hili hukosa jibu mwafaka, mimi hulipa fasili rahisi tu – yaani shairi ni umbo la sanaa-lugha linalojitofautisha na maumbo mengine ya sanaa-lugha kwa jinsi linavyosikika […]