SMZ, mumeniziba mdomo, lakini hamuwezi kuichukuwa sauti yangu

Published on :

Hatimaye lile jungu lililokuwa likipikwa kwa mawiki kadhaa dhidi yangu, limeiva na kupakuliwa. Alkhamisi ya tarehe 23 Juni 2016, Idara ya Habari Maelezo hapa kisiwani Pemba iliniita na kunipoka kitambulisho changu cha uandishi wa habari, ambacho nilikuwa na haki ya kukitumia kwa muda wa miezi sita – kuanzia tarehe 29 […]

Brexit inatufunza nini Wazanzibari?

Published on :

Mambo yote yanayotengenezwa na binaadamu duniani yana uwezekano wa kuvunjwa. Imekuwa hivyo kwa sababu mwanaandamu ana mipaka katika kufikiri kwake na ana khiyari katika kuamua kwake. Kwa sababu mbili hizi, mwanaadamu anaweza kufikiri jambo kuwa ni zuri muda wote na hatimaye mambo yakabadilika na kubainika jambo hilo si zuri kwa […]

La Lipumba na kitisho dhidi ya CUF

Published on :

Historia ya maisha yangu kisiasa si refu kulingana na umri wangu wa miaka 43. Pamoja nakuzaliwa kwenye mazingira ambayo siasa hupikwa, ikatiwa nazi na hatimaye kuliwa au kukorogewa sukari na kisha kunywewa, makuzi yangu kwa kiasi kikubwa hayakuwa kwenye jamii yangu ya asili, na ndio maana sehemu kubwa ya maisha […]