My vote was stolen, but my determination is here to stay

Published on :

On 25th October 2015, Zanzibaris of all walks of life went to poll to decide their political leadership for the next five years. Three days later, the Chairman of the Electoral Commission, Jecha Salum Jecha, under the alleged influence of the then United Republic of Tanzania, nullified their votes and […]

Miaka 52 ya Muungano, mimi kama shahidi

Published on :

Watanzania wanaadhimisha miaka 52 ya Muungano wao wa Tanganyika na Zanzibar. Hongera. Siku 104 nyuma kutoka sasa Watanzania pia waliadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwamba nimeshuhudia kwa macho yangu matukio hayo mawili makubwa ya kihistoria na maendeleo yake hadi leo. Kwangu mimi matukeo hayo mawili […]

Kwa nini tunataka Muungano wa Mkataba

Published on :

Binaadamu wanapoungana au kufanya umoja wa aina yo yote huwa wanayo shabaha ya kuunda muungano au/na umoja huo. Vitendo vyao vyote huwa vina shabaha hiyo moja; yaani kusudi la kuunda muungano huo vitakavyopelekea kupatikanwa kwa maslahi ya pamoja baina yao katika misingi ya usawa na uwazi. Vitendo vyao vizuri ni […]

Vita baina ya ukale na usasa kwenye ‘Kitumbua Kimeingia Mchanga’

Published on :

Kitumbua Kimeingia Mchanga ni tamthilia ya kimageuzi iliyoandikwa na Said Ahmed Mohamed na kuchapishwa na Oxford University Press East Africa Ltd inayojaribu kuonesha mgongano uliopo kati ya ukale na usasa katika jamii, ambapo mpishano wa kimawazo na kimtazamo baina ya wazee na vijana unayaumba na kuyaumbua mahusiano yao ya siku […]