Kambi ya Upinzani Bungeni yatangaza kutomtambua Dk. Shein

Published on :

Kambi Rasmi ya Upinzani inasema kuwa Dk. Ali Muhammed Shein hana uhalali wa kushika nafasi hiyo kwa sababu matokeo ya Uchaguzi wa Marejeo yana kila dalili kuwa yalikuwa ni ya kupanga kitakwimu. Kwa mfano katika Jimbo la Malindi, Dk Shein alipata kura 2,334 katika Uchaguzi wa Oktoba, lakini katika Uchaguzi […]

Zanzibar Stone Town

Zanzibar: Twataka wizara ya ubabe na tashtiti

Published on :

NILIONA ni vyema kwenda Zanzibar kuadhimisha sikukuu adhimu ya Pasaka. Matumaini yangu yalikuwa pia kupata wasaa wa kutathmini hali ya hewa baada ya Uchaguzi wa Marejeo uliofanyika tarehe 20 Machi 2016. Huenda nilikuwa nimeshawishika na mijadala iliyokuwa ikifanyika nchini na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) hivyo nilipopata fursa ya […]

Uzalendo unaoibuka kwa kufutiwa misaada ni unafiki

Published on :

Laiti kama haya ya kufutwa kwa awamu ya pili ya msaada wa kimaendeleo wa shirika la misaada la Marekani (MCC) kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yangelitokea kwa Afrika Kusini wakati wa kufinywa kwa demokrasia na ubaguzi, basi tungelipiga makofi. Kama ilivyo kwa Tanzania, hata makaburu walichokuwa nacho wakati ule ni […]

La CCM, MCC na Mzee Kazihaiko

Published on :

Je, unamkumbuka ile hadithi ya Mzee Kazihaiko inayosimulia mwisho wa ujanja na ubabe wa sungura? Hadithi yenyewe inasema hivi: Hapo zamani za kale kulikuwa na shida ya maji kwenye kijiji kimoja (Zanzibar) na wanakijiji (Wazanzibari) wakakutana kutatua hiyo na kuamua wachimbe kisima (mfumo wa kidemokrasia). Walipopeana muda wa kupitiana kwenda […]

Wa Machi 20 ni uchaguzi uliofeli

Published on :

Katika mfumo wa kidemokrasia, uchaguzi ni utaratibu wa kupata viongozi wa kikatiba wa nchi husika kama yalivyo mahitaji ya katiba ya nchi hiyo. Na kama ilivyo dhana maarufu ya “mahitaji na kukidhi”, katiba inakuwa na mahitaji yake na uchaguzi unayakidhi mahitaji hayo. Endapo uchaguzi umefanyika na matokeo yake yameshindwa kukidhi matakwa […]