CUF yasema sasa imechoka na udhalilishaji

Published on :

Katika hali isiyo ya kawaida na baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu dhidi ya kile kinachokiita “njama za makusudi dhidi yake”, sasa Chama cha Wananchi (CUF) kinasema hakitaweza tena kuvumilia vitendo vya kihuni na kihalifu wanavyotendewa viongozi na wafuasi wake visiwani Zanzibar, kwani wameshasukumwa hadi kwenye ukuta. Akizungumza na […]

European Union delegation brands poll ‘observer,’ RIO, fake organisation

Published on :

The delegation of the European Union(EU) in Tanzania has said that a self-proclaimed organisation purporting to be an observer to the election  re-run in Zanzibar slated for next month is “simply  fake.” The head of the EU Delegation in Tanzania, Ambassador Roeland van de Geer, wrote in a communication that […]

Ndiyo Kikwete, ni wewe

Published on :

Kwamba amiri jeshi mkuu wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, anakanusha kuhusika na ‘uhuni’ wa tarehe 28 Oktoba 2015 visiwani Zanzibar, ambapo Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (ZEC), Jecha Salim Jecha, alitangaza ‘kuufuta’ uchaguzi uliotajwa na waangalizi wote wa ndani na wa kimataifa […]

Jecha anapoendeleza sifa ya Zanzibar kuwa taifa la kuweka na kuvunja rikodi za kihistoria

Published on :

Je, unajuwa kuwa Ukristo uliingia kwanza Zanzibar kabla ya kusambaa kwenye maeneo yote ya ndani ya Afrika Mashariki na Kati? Hiyo ilikuwa mwaka 1448. Unakumbuka kuwa jengo la Baitul-Ajab la pale Forodhani linaitwa hivyo kwa kuwa ilikuwa ajabu ya kweli wakati huo kwenye eneo lote la Afrika ya Mashariki na […]

‘Lolote lisilotokea kwengineko, hutokea Z’bar’

Published on :

Kwa jicho langu la kisanii natamani sana kadhia ya Uchaguzi wa Marejeo niitungie hadithi fupi. Naamini itakuwa tamu sana na hapana shaka mhusika wake mkuu atakuwa ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha. Ni mkasa ambao kama haukutungiwa hadithi kiasi chochote cha kuelezewa katika mfululilizo […]