Hivi CCM hasa munachokitaka ni kitu gani?

Published on :

Mimi nashangazwa sana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha, na Chama chake cha Mapinduzi (CCM), kwani wamekuwa kama hawajuwi hasa kipi wanachokitaka na kama wanakijuwa, basi hawakisemi wazi tukakijuwa. Hebu tuwaulize. Nini hasa sababu ya kufuta uchaguzi halali wa tarehe 25 Oktoba? Si ni katika […]

Kutana na Eddy Riyami, bingwa wa ‘facts and figures’

Published on :

Unahitaji kukutana na Eddy Riyami mara moja, siku moja na takriban mkazungumza kwa kiasi cha dakika tano na atabaki kichwani kwako. Hakuna sehemu utayaoingia katika historia na siasa za Zanzibar ikawa yeye ni mwanafunzi. Allah amemjalia kuitumika nchi yake Zanzibar vilivyo katika uzalendo wa hali ya juu kabisa toka akiwa […]

Mkanganyiko CCM Z’bar

Published on :

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeingia tena katika mvutano na wanachama wake waliokabidhiwa vyeti vya ushindi wa uwakilishi na udiwani katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka jana, kwa kushikilia kuwa hawataki uchaguzi wa marudio, anaandika Jabir Idrissa.

Hatuwi muhuri wa kuwasafisha wabakaji wa demokrasia – ACT Wazalendo

Published on :

Licha ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha, kujitokeza tena akisisitiza kuwa hakuna chama wala mgombea hata mmoja aliyefuata masharti yanayotakiwa kuweza kujitoa kwenye uchaguzi wa marudio unaotazamiwa kufanyika tarehe 20 Machi visiwani humo na hivyo ni wagombea halali kwenye uchaguzi huo, chama cha ACT-Wazalendo […]

Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru sasa kiganjani pako

Published on :

Je, una hamu ya kukisoma kitabu cha Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru lakini huna namna ya kukipata hapo ulipo? Kuna njia rahisi ya  kukisoma kupitia simu yako ya mkononi, tablet au kompyuta moja kwa moja popote pale ulipo. Unachohitajika kuwa nacho ni kuunganishwa na mtandao wa intaneti tu. Kitabu kizima kinapatikana […]