Angalia hii vidio iliyowekwa mtandaoni hivi leo, mara tu baada ya Tume Huru ya Uchaguzi nchini Uganda kumtangaza Rais Yoweri Museveni mshindi wa mara nyengine wa uchaguzi mkuu katika taifa hilo la Afrika Mashariki. Hapana shaka, stihzai iliyomo humu inatosha kuelezea kwa upana na urefu jinsi watawala wanavyotumia chaguzi kama njia tu ya kujihalalishia uwepo wao madarakani na wala sio kama njia sahihi ya wananchi kuamua nani ashikilie ofisi ya umma na nani aondoke.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.