Kwa wale ambao hadi leo wana kasumba kwamba Uislamu una uhusiano wa moja kwa moja na ugaidi kwa kuwa tu wengi wanaohusishwa na mashambulizi ya kigaidi wana majina ya Kiislamu, Mehdi Hassan ana jawabu rahisi na la kitaalamu kwao. Kwa kutumia takwimu za watafiti waliobobea kwenye kuusoma ugaidi barani Ulaya na duniani, mwandishi huyu wa habari anawasilisha hoja inayoipindua kabisa dhana hiyo kifudifudi. Angalia vidio fupi hapo chini.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.