Zanzibar yetu yaumwa, tuitibuni

Published on :

Siku hizi ni kawaida kuwasikia watu – hasa wasomi na wataalamu waliobobea kwenye fani zao hapa Zanzibar  – wakisema “kwa tatizo hili bora pawepo mtaala maalum unaofundishwa maskulini ili kuliondosha’. Swali linakuja: je, tutabadilisha mitaala mingapi na kwa haja gani li kukidhi matatizo ya kijamii yanayoibuka kila leo, ambapo mengi […]

Kipigo hakijawahi kuwabadili wapinzani kuwa wafuasi wa watawala

Published on :

Tu, tu tu! Piga huyu, kamata yule! Kazi inaendelea.Kijiji kimejaa vilio vya watoto wachanga, kimetanda khofu na kimesambaa hewa ya sumu ambayo inapopulizwa kuchukuwa masiku kabla haijesha. Kwa siku kadhaa mahali hapa pamekuwa pa mateso mabaya kwa kina mama, wazee na watoto wadogo ambao maisha yao sasa ni ya kukimbia […]

Disemba 10 na uhuru wa Zanzibar uliopuuzwa

Published on :

Mwandishi Harith Ghassani anakiita kitabu chake Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru, yumkini akimaanisha kile kilichotokea tarehe 10 Disemba 1963 kilikuwa kiini macho cha aina yake ambapo Zanzibar ilijipatia uhuru wake kutoka kwa Muingereza na baadaye kujikuta baada ya mwezi mmoja ikiingia katika Mpainduzi ambayo baadaye nayo, ndani ya siku 100 tu, […]