Makosa matatu ya kuepukwa na Magufuli kwa Zanzibar

Published on :

Kwa mara nyengine tena, Zanzibar imo kwenye mzozo usioweza kuelezeka kwa msamiati wowote zaidi ya uhuni wa waroho wa madaraka, japokuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Masuala ya Afrika Mashariki na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Augustine Mahiga anatumia kijembe cha “utamaduni wa kisiasa wa Zanzibar”. Huu si utamaduni. Huu ni […]

Hili hapa jibu la Simai Mohammed kwa Mohammed Ghassani

Published on :

Salaams, kwanza nianze kwa kukusalimu. Pili, nichukue nafasi hii ili kuweka kumbukumbu sahihi kuwa maandishi yangu niliyoyaandika kuhusiana na kauli aliyoitoa Mh Zitto Kabwe ilikuwa na malengo ya kumfahamisha, na pia niliona umuhimu aliyoandika yalikuwa yanastahiki kupatiwa majibu kwa sababu yalikuwa yanapotosha jamii. Hili nitalielezea kwa undani na kwa lugha […]

Rais Magufuli umeanza vyema, malizia vizuri

Published on :

Yakaribia miezi miwili sasa tangu Uchaguzi wa Zanzibar wa tarehe 25 Oktoba 2015 uingie katika jaribio la kufutwa kupitia kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, ambapo wanasheria wabobezi katika fani ya sheria, vyama takriban sita vilivyoshiriki uchaguzi, waangalizi wa uchaguzi wa nje na wa […]