Rais Magufuli umeanza vyema, malizia vizuri

Published on :

Yakaribia miezi miwili sasa tangu Uchaguzi wa Zanzibar wa tarehe 25 Oktoba 2015 uingie katika jaribio la kufutwa kupitia kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, ambapo wanasheria wabobezi katika fani ya sheria, vyama takriban sita vilivyoshiriki uchaguzi, waangalizi wa uchaguzi wa nje na wa […]

Inapopwerewa hoja ya Simai ikainuka ya Zitto

Published on :

Labda kwa kuwa naonekana sana kwenye mijadala inayohusu, makhsusi, siasa za Zanzibar na za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa ujumla wake, si watu wengi wanaojuwa kuwa nilianza maisha yangu ya kujipatia riziki nyumbani kwetu Zanzibar kupitia utalii mwezi Mei 2001, na nikadumu kwenye kazi hiyo hadi Agosti 2010 nilipojiunga […]