Washindi wa Tuzo ya Kiswahili ya Mabati-Cornell ya fasihi ya Kiafrika watangazwa

Published on :

“ Wakitumia lugha inayovutia na iliyo muwafaka, na mara nyingine lugha cheshi, washindi walizungumzia maswala yanayozikumba jamii za Afrika Mashariki, kama vile utumiaji wa mihadharati na athari zake duniani; swala la jinsia – wanawake na haki zao; na ufisadi wa kisiasa. Huu ni ukweli halisi wa Afrika katika lugha ya […]