Ni mtumwa msikwao, nami kattu huyo siye
Miye simo kwenye hao, ni mtu na kwetu miye
Ninako kwa mazalio, kwa makuzi na mavaye
Jina kwetwa Zinjibari

 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.