Lau nabagwa machozi, Zenji nikakulilia
Si kwamba mimi bazazi, au ni mwana mviya
Bali ni yangu mapenzi, kwako yalonizidia

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.