Mnena mneni mno, haneni jambo aula
Huwa anena maneno, ya kuuvunja muwala
Ya kuzuwa mivutano, na mashaka na madhila
Ikabaki lahaula, pasiwe na mapatano

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.