Jumamosi ya tarehe 13 Juni 2015, Idara ya Afrika ya Shirika la Utangazaji la Deutsche Welle iliandaa mashindano ya soka kwa idhaa zote za Afrika na Idhaa ya Kiswahili ilishiriki kikamilifu tangu mwanzo hadi mwisho. 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.