Tanzania inatajwa kupiga hatua kubwa sana kwenye tasnia ya filamu za Kiswahili na hivyo kusaidia kuisambaza lugha hii nje ya mipaka yake na hadi kote ulimwenguni ambako filamu hizo hutazamwa.

Lakini swali kubwa linaloulizwa ni ikiwa kweli utambulisho na utamaduni wa Mswahili unabebwa na filamu za Kiswahili za Tanzania mbali ya misamiati na maneno ya lugha ya Kiswahili yanayotumika?

Msikilize hapa Dk. Vicensia Shule wa Kitivo cha Sanaa cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akizungumzia namna filamu za Kiswahili zinavyojitahidi kutimiza dhima yake.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.