seif

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, anazungumzia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015 ambapo yeye anasimama tena kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar kwa mara ya tano. Bonyeza hapa kusikia mazungumzo yake na Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle, Ujerumani.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.