Zanzibar itavuna nini rais wa Muungano akiwa Jaji Ramadhani?

Published on :

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) ni merikebu inayoelea shelabela katika bahari iliyochafuka. Imo safarini, ikipanda na kushuka juu ya mawimbi yenye hasira, ikiwa haijui tena iendako au hata ilikopanga kwenda. Si siri kwamba chombo hicho kimepoteza dira.Tena kina manahodha wengi. Na kama wajuavyo wenye uzoefu wa ubaharia, penye manahodha wengi, chombo […]

Athari ya lugha za asili katika Kiswahili

Published on :

Niliwahi kueleza katika makala zangu za hapo awali na kusisitiza kuwa bado wako waandishi wengi wanaoendelea kufanya makosa ya hapa na pale bila kuzingatia ufasaha na usanifu wa lugha ya Kiswahili. Nilitilia mkazo katika uandishi hasa kwa upande wa sintaksia, mofolojia na semantiki katika Kiswahili. Niliwasihi waandishi wawe makini wanapoandika […]

Mambo yawa mambo Z’bar

Published on :

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutoka Chama cha Wananchi (CUF) leo wametoka nje ya ukumbi wa baraza hilo kwa kile wanachodai kuwa ni ukiukwaji wa sheria, ikiwemo kujaza askari Polisi na wengine wakivaa ninja katika uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura unaloendelea visiwani Zanzibar.