Yaliyotokea kifo cha Abdallah Kassim Hanga-2

Published on :

HEBU tumsome Dk. Ghassany ameandika nini katika kitabu chake Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru kuhusu Hanga wakati yuko nyumbani kwa Oscar Kambona anajitayarisha kurejea Tanzania: ”Nnavokumbuka mimi, Oscar akatwambia sikilizeni bwana. Mimi nimekuiteni hapa mje mseme na ndugu yenu na mzee wenu huyu, Hanga, amekuja hapa na anataka kurudi nyumbani. Hajataja […]

La Uamsho na mapindopindo ya Pinda

Published on :

KUNA usemi na usemi huu ni wa Kichina ambao tafsiri yake ni: “Nyayo iliyonyoka haikiogopi kiatu kilichopindika.” Maana ya usemi huu ni kwamba mtu mwenye maadili yaliyonyoka haogopi umbeya au udaku. Yaani, huwa haogopi kusengenywa au kutiwa hewani, kama wasemavyo mitaani. Madhali anachofanya au anachosema mtu huyo ni cha haki […]

Balozi Seif amuunga mkono Membe mbio za urais

Published on :

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amesema atakuwa bega kwa bega na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe katika mbio zake za kuwania urais. Membe, ambaye amekuwa akizungumzia kutangaza nia kuwania urais kama “kusubiri kuoteshwa”, ameshasema siku ikifika atachukua fomu […]