Inaonekana kama kwamba zile zama za mabadiliko ya kweli zimewadia visiwani Zanzibar na sasa wale walioweza kuyaakhirisha kwa miaka 20 iliyopita wanageuka wenyewe kuwa sehemu ya mabadiliko hayo. Leo ilikuwa zamu ya Alabama, kilichokuwa kitovu cha Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa Unguja Mjini. PICHA ZOTE NA HASSAN KHAMIS

This slideshow requires JavaScript.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.