Dk. Shein ajiulize ikiwa anataka kuleta vurugu Z’bar – Prof. Lipumba

Published on :

Moja ya mafanikio makubwa ya Rais Kikwete ni kuimarisha uhusiano wa Tanzania na mataifa makubwa hususan Marekani na China. Rais Kikwete alifanikisha Tanzania kupata msaada mkubwa wa Millennium Challenge Corporation – MCC wa dola milioni 698 kutoka serikali ya Marekani uliogharamia miradi mingi ya sekta ya usafiri, nishati na maji […]

Siku Nahodha ‘alipotumbua’ jipu

Published on :

Mnamo tarehe 10 Juni 2015, niliandika makala iitwayo “CCM Zanzibar haina uhalali kujinasibisha na mapinduzi” nikionesha jinsi mwakilishi wa zamani wa jimbo la Mwanakwerekwe, Waziri Kiongozi Mstaafu, waziri wa zamani wa mambo ya ndani na pia ya ulinzi, Shamsi Vuai Nahodha, alivyotumia moja ya mikutano yake ya hadhara kwenye jimbo hilo kuwakumbusha […]

CCM na upotoshaji wa kilichopotoka

Published on :

Kuna kitu kinapotoshwa kama si kwa bahati mbaya basi ni kwa kukusudia, Kamati Maalum ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar, imekutana kujadili hali ya kisiasa Zanzibar, taarifa iliyotolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Zanzibar, Bi. Waride Bakar, ni kuwa, kikao hicho kimeunga mkono mazungumzo yanayoendelea Ikulu ya […]