Elimu bila malipo, malipo bila elimu?

Published on :

Leo ilikuwa ni siku adhimu sana kwa Wazanzibari siku ambayo ilitangazwa elimu bila malipo kila ifikapo siku kama hiyi wanafunzi huisherekea kwa kwaya ,michezo ya kuigiza ,mbio za vijiti aina mbali mbali za mipira na mashairi kwa hakika wanafunzi mbali mbali hupokea zawadi kwa ushindi kulingana na michenzo waliyoshiriki na […]

Mbunge CHADEMA amuonya Turky wa CCM

Published on :

MBUNGE wa viti Maalum, Mariam Msabaha (CHADEMA), amemuonya mbunge mwenzake wa Mpendae kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Salim Turky na kumtaka aache tabia ya kutumia madaraka na kinga za kibunge kunyanyasa wananchi katika masuala yasiyohusiana na siasa. Mbali na kumuonya kwa tabia ya unyanyasaji, pia Msabaha amesema mbunge huyo anapaswa […]

Waislamu Zanzibar watakiwa kutoa zaka

Published on :

Kukosekana kwa Utaratibu nzuri wa Utoaji na Usambazaji wa Zaka ni moja ya matatizo yanayopelekea Zanzibar kuendelea kuwa na Watu wanaoishi katika mazingira magumu na Umasikini uliopindukia. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Zaka na Sadaka Zanzibar (JUZASA) Shekh Said Suleiman Masoud ameyasema hayo alipokuwa akitoa nasaha katika Mkutano wa Jumuiya hiyo […]