Uhakiki wa Makuwadi wa Soko Huria

Published on :

KITABU kinachohahikiwa hapa ni Makuadi wa Soko Huria ambacho kimeandikwa na Marehemu Profesa Chachage Chachage. Mchapishaji wa kitabu hiki chenye kurasa 287 ni E&D Limited   na amekipatia namba (ISBN): 9987 622 45 3 katika sekwensia ya vitabu duniani.