Aweje mwananchi ili awe ‘mwenye nchi’?

Published on :

Ahmed Rajab KUNA ukweli mmoja ulionipitikia hii leo na ulionishtua. Ni ukweli au uhakika ulio mchungu. Ingawa tumeumezea miaka nenda miaka rudi, sasa umefika wakati wa kuwa lazima tuuteme. Tusipofanya hivyo nasi pia tutakuwa kama tunayaridhia na kuyakubali mabaya yaliopo na tutakuwa tunashiriki kuuendeleza uovu. Uhakika wenyewe ni kuwa jeshi […]

Kauli ya Mtatiro juu ya Sheikh Ponda

Published on :

UNYAMA ALIOFANYIWA SHEIKH PONDA HAUKUBALIKI, ULAANIWE KWA NGUVU ZOTE. Muda si mrefu nimetoka kuongea na shuhuda mmoja aliyekuwepo Morogoro. Ni kweli kuwa Sheikh PONDA amejeruhiwa vibaya kwa RISASI. Huu ni mwendelezo wa matukio ya kuwawinda viongozi wa dini, viongozi wa vyama vya siasa, waandishi wa habari na wanaharakati ambao serikali […]

John Tendwa nje

Published on :

Na Joyce Mmasi Rais Jakaya Kikwete amemteua Jaji Francis Mutungi kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa kujaza nafasi iliyoachwa na John Tendwa ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. Taarifa iliyotolewa Dar es Salaam jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ilisema kuwa uteuzi huo ulianza Agosti 2, 2013. Kabla […]

Mtanzania adakwa na mihadarati Thailand

Published on :

Mtanzania adakwa na mihadarati Thailand SIKU chache baada ya serikali za Tanzania na Thailand kutiliana saini mkataba wa kubadilishana wafungwa na kutekeleza sheria ya vifungo, raia wa Tanzania amebambwa na dawa za kulevya nchini humo. Mtanzania huyo aliyefahamika kwa jina moja la Kileo, alikamatwa Jumanne wiki iliyopita katika kisiwa cha […]