Serikali tatu pekee ndiyo itatupa amani

Published on :

Habel Chidawali, Mwananchi Dodoma. Watanzania wameaswa kuwa makini na kuukubali mfumo wa Serikali tatu kwani ndiyo pekee utakaoondoa malalamiko na kero za Muungano. Mbali na hilo wametakiwa kukumbuka na kuzionea huruma fedha za walipa kodi ambazo zimetumika kulipa tume 45 na vikao 50 vilivyoketi kujadili kero za Muungano kwa kipindi […]