Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa awamu ya tatu Mh. Benjamin William Mkapa na Rais wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi baada ya futari iliyoandaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue Oysterbay jijini Dar es salaam Jumapili.
Jana, Leo na Kesho