Huu ndio Muungano wa Shirikisho

Published on :

NCHI yetu kwa sasa inapita katika kipindi muhimu cha kujadili na kuboresha Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano. Pamoja na mambo mengine, rasimu  imependekeza kuwa na Muungano wa Shirikisho lenye serikali tatu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano, Serikali ya Zanzibar na Serikali ya Tanzania Bara. Mapendekezo haya yameibua mjadala […]

Maelewano au Mapatano?

Published on :

Kati ya maneno yaliyonasa katika vichwa vya wasikilizaji na watazamaji wa mhadhara wa Prof. Shivji ni Maelewano (Compromise) na Mapatano (Concensus). Hakuna shaka kuwa Prof. Shivji aliyatumia vizuri sana kufikisha ujumbe wake. Kwa mujibu wa Prof. Shivji, katika majadiliano ndani ya Tume, Wajumbe wa Tume ya Warioba walilazimika kuelewana (na […]