Imewekwa na Hamed Mazrouy

Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad akisalimia na Mwakilishi wa Jimbo la Mjimkongwe Mh, Ismail Jussa Ladhu pamja na Katibu Mkuu wake Dr:Omar Dadi Shajak na Vionozi wengine mbali mbali mara baada ya kuwasili katikaUwanja wa ndege wa kimataifa Zanzibar Abeid Amani Karume akitokea matibabuni nchini India.