KAMISHNA CHUO CHA MAFUNZO AWATAKA WANAJESHI KUJIWEKEA MIPANGO KATIKA UTENDAJI WA KAZI ZAO

Published on :

Na Hamed Mazrouy Kamishna wa chuo cha mafunzo zanzibar Nd, Khalfan Hassan Choum amewataka maafisa na wapiganaji wa jeshi hilo kujiwekea mipango ya utendaji ili kuleta ufanisi wa kazi zao.   Amesema mipango na utekelezaji wa mikakati waliyojiwekea itasaidia kuleta ufanisi na kufanikisha malengo waliyojiwekea.   Kamishna Choum ameyasema hayo […]

WATOTO WALIOAJIRIWA MITAANI SASA KUREJESHWA SHULE

Published on :

Imewekwa na Hamed Mazrouy   Mwakilishi wa shirika la kimataifa la kuhudumia watoto kanda ya zanzibar  Nd, Mubarak Maaman  amesema shirika hilo lina mpango wa kutokomeza ajira mbaya kwa watoto kwa kuweka mipaka itakayowafanya watoto hao waendelee na masomo.   Akifunga mafunzo kwa Wandishi wa habari wa vyombo mbalimbali huko […]

SHAHIDI ADAI KINA PONDA WALIVAMIA ENEO

Published on :

Imewekwa na Hamed Mazrouy   MLINZI wa Kampuni ya Agritanza Ltd, Julius Mlanzi ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jinsi kundi la watu waliojitambulisha kuwa Waislamu lilivyofika na kutaka warejeshewe eneo la Makazi lililopo Chang’ombe, wakidai ni mali yao. Alidai mahakamani kuwa kundi hili lilimtaka mmiliki wa eneo hilo kuwasiliana […]