Hospitali ya Mnazi Mmoja kuwa hoispitali ya dharura.

Published on :

Imewekwa na Hamed Mazrouy Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii imesema kua suala la kuifanya hospitali ya Mnazi Mmoja kua ya rufaa ni suala la muda mrefu kuweza kufikiwa hivyo kunahitajika matayarisho mbali mbali ili kuweza kufikia hatua hiyo. Akijibu swali katika kikao cha baraza la Wawakilishi Naibu Waziri […]

Marekani yavutiwa na mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo Zanzibar

Published on :

Imewekwa na Hamed Mazrouy MAREKANI imeeleza kuvutiwa kwake na mafanikio yaliopatikana katika miradi inayoiendesha hapa Zanzibar na kuahidi kuunga mkono miradi mengine ikiwemo miradi mipya ya Changamoto ya Milenia (MCC) awamu ya pili  baada ya   Tanzania kufanikiwa katika awamu hiyo ambapo Zanzibar nayo itafaidika. Maelezo hayo yametolewa leo na […]

Marekani yavutiwa kutokana na mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo Zanzibar

Published on :

Imewekwa na Hamed Mazrouy MAREKANI imeeleza kuvutiwa kwake na mafanikio yaliopatikana katika miradi inayoiendesha hapa Zanzibar na kuahidi kuunga mkono miradi mengine ikiwemo miradi mipya ya Changamoto ya Milenia (MCC) awamu ya pili  baada ya   Tanzania kufanikiwa katika awamu hiyo ambapo Zanzibar nayo itafaidika. Maelezo hayo yametolewa leo na […]

KAMPUNI YA SEAGUL SEA TRANSPORT YAITAKA SERIKALI IFUNGULIE MELI YAKE YA MV KALAMA

Published on :

Imewekwa na Hamed Mazrouy Serikali ya Mapinduzi ya Zanzíbar, imeshauriwa kuimarisha huduma za ukaguzi na usimamizi wa vyombo vya baharini ili kuwepo na haki  katika utoaji wa maamuzi juu ya matatizo yanayowakabili wawekezaji wazalendo. Ushauri huo umetolewa na Mkurugenzi wa kampuni ya Seagull transport ltd, Said Abdulrahman Juma, wakati akizungumza […]

SMZ YAFANIKIWA MITARO YA MAJI MACHAFU

Published on :

Imewekwa na Hamed Mazrouy Waziri wa Nchi ofisi ya Rais na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Mwijihaji Makame amesema lengo la kujengwa mtaro wa maji ya mvua wenye urefu wa mita Miasaba kutoka block namba 5 na namba 10 kuelekea msikiti mabati ni kusaidia kupokea maji ya mvua yanayotokea […]