SMZ yasema Shirika la Meli kuwa la kiushindani zaidi.

Published on :

izara ya miundo mbinu na mawasiliano inakusudia kulifanya shirika jipya la meli la Zanzibar kujitegemea ili kuingia katika ushindani wa kibiashara na mashirika mengine ulimwenguni. Hayo yameelezwa na waziri wa wizara hiyo mhe, Rashid Seif Suleiman alipokuwa akijibu hoja za wajumbe wa baraza la wawakilishi waliochangia mswada wa sheria ya […]