
Idara ya Habarui Maelezo Zanzibar imetoa ratiba mpya ya shughuli mbali mbali zinazofanywa sasa kama sehemu ya shamrashamra za sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
1. Ufunguzi wa Mradi wa Maji Chwaka tarehe 7.1.2013 umefutwa.
2. Uwekaji jiwe la msingi skuli ya Gamba tarehe 9/1/2013 umefutwa.
3. Uwekaji jiwe la msingi nyumba ya walimu tarehe 10/1/2013 umefutwa.
4. Ufunguzi wa Madrasa Karange tarehe 11/1/2013 sasa utanywa na Mhe Mohd
Aboud badala ya Mhe Shamsi.
5.Ufunguzi wa Golden Hotel Nungwi sasa utakuwa tarehe 11/1/2013
badada ya tarehe 7/1../2013 saa 4.00 asubuhi.
Nakutakiene kazi njema.